VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUA KIWANJA /ARDHI

Unaweza ukawa unajiuliza ni vitu gani vya kuzingatia sana wakati unapanga kunua eneo lako au kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako. Leo tujadili hasa mambo ya muhimu ambayo unatakiwa kuyafahamu ama kufanya kabla huja nunua kiwanja ama Ardhi kwaajili ya ujenzi wa nyumba yako. Hivyo basi kabla hujatafuta ardhi yoyote ni …

VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUNUA KIWANJA /ARDHI Read More »