BLC HOMES

CONTACT US: 0742892195

Blog

Your blog category

VITU 10 VYA KUZINGATIA WAKATI UNAPANGA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO

Kupanga kujenga nyumba ya ndoto yako sio kazi ndogo ni mchakato mrefu ambao unahitaji umakini wa hali juu sana kuanzia hatua za kwanza kabisa kwenye kutafuta eneo la ujemzi , kuandaa ramani au design ya nyumba yako itakayo kidhi mahitaji yako na matumizi wa nyumba hiyo . Ili kukusaidia kupitia mchakato huu kwa urahisi, tumekusanya …

VITU 10 VYA KUZINGATIA WAKATI UNAPANGA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO Read More »

MAKOSA YA KUEPUKA WAKATI UNAPANGA KUJENGA NYUMBA MWAKA HUU

1.KUTOJUA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA UNAYOTAKA KUJENGA watu wengi  hujikuta wanatumia  gharama za ujenzi kubwa tofauti na walivo tegemea katika ujenzi wa nyumba zao .. Unapotaka kujenga nyumba Yako kabla haujaanza kujenga  nyumba  jua roughly budget  ya makadirio ya gharama za ujenzi  ya nyumba Yako. Ramani Nyumba inaweza  kuwa  ni Ile Ile   aliyojenga Mr …

MAKOSA YA KUEPUKA WAKATI UNAPANGA KUJENGA NYUMBA MWAKA HUU Read More »